Nini maana yake?

Nini maana yake?

Kuna mitaa kama mwanamke kavaa hiyo Ina manisha Anajiuza hasa yule alovaa mguu mmoja

Alafu mkuu Hiyo picha Haina position nzuri
TULIO WENGI TUNGETARAJIA IPIGE KUELEKE KUTOKA UNYAYO KUELEKEA JUU SIO KUTOKA JUU KWENYE KWENYE UNYAO
Wengine hutafsiri kuwa kuna biashara mbili yaani anatumika pia kinyume na maumbile.
 
Ivi mwanamke kuvaa kikuku(Shango au bangili inayovaliwa mguuni) katika mguu wake inakuwa na maana gani?View attachment 888278
Mkuu ukiona hivo jua na kiunoni ipo....
 
Back
Top Bottom