Ni Mhaya mmoja alisoma Sheria na baadae kuwa wakili ndipo akaenda kwao Bukoba akaona ajipe ujiko zaidi kwasababu Wahaya wengi wamesoma hivyo akasema yeye ni wakili Msomi.Kwani kuna Mawakili wapumbavu?
Nijuavyo mimi ukimaliza shahada ya sheria (BLL) unakuwa mwanasheria.
Ukitaka kuwa Wakili ni lazima uende LAW SCHOOL. Sasa ukimaliza Law school tukikuita WAKILI kuna shida gani?
Kwanini mnalazimisha tuseme WAKILI MSOMI?
Kwani kuna WAKILI MPUMBAVU?
Hebu ndugu zetu punguzeni ulimbukeni kidogo.
Acha watu watambe na professional zao asee kwani shida iko wapi? Mfano mimi ukiniita Scientist aah burudani kabisa sabab nimeusotea sana [emoji16]Kwani kuna Mawakili wapumbavu?
Nijuavyo mimi ukimaliza shahada ya sheria (BLL) unakuwa mwanasheria.
Ukitaka kuwa Wakili ni lazima uende LAW SCHOOL. Sasa ukimaliza Law school tukikuita WAKILI kuna shida gani?
Kwanini mnalazimisha tuseme WAKILI MSOMI?
Kwani kuna WAKILI MPUMBAVU?
Hebu ndugu zetu punguzeni ulimbukeni kidogo.
Na akiitwa Wakili Msomi kuna shida gani? Yaani wewe kama wewe unapungukiwa nini?Kwani akiitwa WAKILI kuna shida gani?
Na akiitwa Wakili Msomi kuna shida gani? Yaani wewe kama wewe unapungukiwa nini?
Kuna watu watahisi labda unawaonea wivu eti.

Kuitana msomi ni common law practice, mawakili/wanasheria huitana wasomiwao kwa wao na si kwa mtu nje ya field. Na pia pia Sheria ni dynamic thus wanasheria/mawakili wanasoma muda wote ili kuwa upto date, kwenye Sheria hamna formula au prescribed procedure so they argue tofauti na walimu kuna mitaala, wanasayansi wana formulas n etc, so the term msomi eminated from thereKwani kuna Mawakili wapumbavu?