Survive for the fittest
Survival for the fittest
Kama chui anamkimbiza swala ili amle aendelee kuwa hai na swala anamkimbia chui ili kutetea uhai wake.. Nini maana ya uhai ktk hiyo picha..?
Muumbaji gani..?Maana ya uhai anaujua muumbaji mwenyewe. Viumbe wengine wapo kwa ajili ya viumbe wengine. Hata samaki wadogo huliwa na samaki wakubwa. Wengine wanaishi kuandalia mazingira wengine kwa mfano kuna wanyama wadogo huwa wanachimba mashimo baadae nyoka au mnyama mwingine anahamia kuishi!
Hata binadamu tunaishi kwa kutegemeana na mara nyingine tunauana ili tufaidi vya wenzetu!
Upo kwa baadhi ya viumbe na hautokuwepo kwa baadhi ya viumbe pia mkuuunafikiria bila kutegemeana hakuna uhai..?
Upo kwa baadhi ya viumbe na hautokuwepo kwa baadhi ya viumbe pia mkuu
kuna watu wanajiuwa wengi tu.. viumbe wanaogopa kifo ili nature iwe perfect(uhai uendelee kuwepo),kama kifo kingekua kizuri jambo linaloleta burudani leo tusingekuwepo kila mmoja angekuwa ameshajipa burudani ya kifo.. endelea kutafakari hakuna neema hapoKila kiumbe kimewekewa
Umauti ila inashangaza hakuna kiumbe kinachotaka umauti MUNGU ana siri nzito hapo