Nini maana ya 'Ubwabwa wa shingo'

Nini maana ya 'Ubwabwa wa shingo'

Natokea Kanda Maalum

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
750
Reaction score
1,318
Msaada; Nini maana ya neno au kikundi cha maneno UBWABWA WA SHINGO kwani Mara kadhaa nimewahi kulisikia pasina kujua maana yake



Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom