Nini maana ya taarifa za Kiitelijensia?!!

JiweGum

Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
25
Reaction score
5
Wanau natamani kujua maana halisi ya hilo neno tajwa hapo juu maana nalisikia tu wapinzani wanapoomba mikutano ndo polisi wanazuia kwa taarifa za kiitelijensia

Hiv walikuwa wapi kutoa taarifa za kiitelijensia mabomu ya Arusha wakati huo na majanga mengine?!

Au taarifa za kiitelijensia ni kuhusu mikutano tu.Mbona chama tawala au rais anapoongea na wazee wa dar hakuna taarifa hizo

Je polisi wanataka kutuaminisha taarifa za kiitelijensia ni katika mikutano ya upinzani tu au?!Kama kuna intelijensia kweli basi itumike sehemu zote,hiyo intelijensia ya upande mmoja tu wala sijaipenda
 
Na utakaa muda mrefu sana bila kuipenda..........haiwezekani kuwa sawa........mpaka tutakapopata katiba mpya........
 
Yapo matukio ulishawahi kuyaona au kuyasikia. Ila unajua ni matukio mangapi mabaya ambayo yalipangwa na wahalifu lakini hayakufanikiwa? We shida yako ni kuandamana na mikutano tu? kwa faida yako na Chama chako pekeee? Halafu Watanzania wasio na shida na Chama chako inawasaidia nini wewe kuandamana au kufanya mikutano hatarishi kwa amani ya Taifa? Tatizo mnataka sifa saaana! Kama mikutano kuna kumbi tele Jijini, hata kuandamana pia humohumo mnaweza mkamaliza kabisa. Ila linapokuja suala la Amani, Tanzania kwanza, vyama baadaye!.
 
Dalili kubwa sana ya uzalendo. . .
 
Sasa unauliza kutaka ujibiwe au unaleta malalamiko yako kuwa upinzani unaonewa?
 
Yapo matukio ulishawahi kuyaona au kuyasikia. Ila unajua ni matukio mangapi mabaya ambayo yalipangwa na wahalifu lakini hayakufanikiwa? We shida yako ni kuandamana na mikutano tu? kwa faida yako na Chama chako pekeee? Halafu Watanzania wasio na shida na Chama chako inawasaidia nini wewe kuandamana au kufanya mikutano hatarishi kwa amani ya Taifa? Tatizo mnataka sifa saaana! Kama mikutano kuna kumbi tele Jijini, hata kuandamana pia humohumo mnaweza mkamaliza kabisa. Ila linapokuja suala la Amani, Tanzania kwanza, vyama baadaye!.
Mkuu, umemaliza kabisa. Kile kifute cha "like" kingekuwepo ningekugongea hapa
 
Wanau natamani kujua maana halisi ya hilo neno tajwa hapo juu maana nalisikia tu wapinzani wanapoomba mikutano ndo polisi wanazuia kwa taarifa za kiitelijensia

Hiv walikuwa wapi kutoa taarifa za kiitelijensia mabomu ya Arusha wakati huo na majanga mengine?!

Au taarifa za kiitelijensia ni kuhusu mikutano tu.Mbona chama tawala au rais anapoongea na wazee wa dar hakuna taarifa hizo

Je polisi wanataka kutuaminisha taarifa za kiitelijensia ni katika mikutano ya upinzani tu au?!Kama kuna intelijensia kweli basi itumike sehemu zote,hiyo intelijensia ya upande mmoja tu wala sijaipenda

Taarifa Za Kiintelijensia Zinaweza Hata Kuwa Za Mgombe Urais Mmoja Labda ALIJISAIDIA HAJA KUBWA Mkutanoni Nakadhalika. Hata Hiyo Nayo Pia Ni Taarifa Ya Kiintelijensia!
 
Back
Top Bottom