Nini maana ya Samaki Pande?

mzama chumvini

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2016
Posts
730
Reaction score
644
Sabakher Wadau!
Nipo zenji kuchukua kikaz! Nimekuja kijiwe cha wazee kupoteza muda!kuna binti kapita Kuna mzee kasema Samaki Pande! Naona Wote Wamecheka! Nin maana yake?
 
Kuchukua kazi......Ok....uchaguzini sio.....
Njoo hapa Tatu nikwambie samaki pande ni nini.......
 
Sabakher Wadau!
Nipo zenji kuchukua kikaz! Nimekuja kijiwe cha wazee kupoteza muda!kuna binti kapita Kuna mzee kasema Samaki Pande! Naona Wote Wamecheka! Nin maana yake?
Wangekuwa wamesema 'kibua' ningekwambia
 
Kwa Wenye akili zao wameshaelewa yaani ni hivi chanel 0 inapatikana ukiona hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…