Nini maana ya "no guarantor id"?

Nini maana ya "no guarantor id"?

Wakati unajaza form za maombi kuna sehemu ulijaza jina la mdhamini wako sasa ulitakiwa kuambatanisha nakala (copy) ya kitambulisho chake wakati unarudisha form
Wanahitaji namba tuu ya kitambulisho
 
Habari zenu nimeomba mkopo nimeambiwa NO GUARANTOR ID anaejua naomba anisaidie
Nakala ya kitambulisho cha mdhamini kiwe certified kwa hakimu au wakili then unaki2ma kwa EMS
 
Nakala ya kitambulisho cha mdhani,,ila hakikisha pia kinapigwa muhuri wa mtu wa viapo pamoja na kusainiwa
 
Nimegundua Wengie Wa Waliotajwa Majina Yao Ya Kurekebisha Taarifa Zao Ni Wale Ambao Hawakutoa Jasho lao Katika Kuomba Mkopo! Walilipia Kila Kitu Stationary Wakajaziwa Tu Fomu, Au Wamejaziwa na Jamaa Zao bila Ya Wao Kuwepo Ndiyo Maana Zikawa na Mapungufu Mengi Ya Kuto Kuambatanisha Attachments Muhimu.
 
Back
Top Bottom