Nini maana ya neno STAN lile linaloishia kwenye nchi kama Pakistan ,Afghanstan, Kazastan, Uzerbarjanstan,na je Nchi hizi zinahusiana kihistoria?
Mkuu,naona wanachelewa kuja, watakuwa wanashughulika team amboni labda. Ninachohisi inawezekana linamaana moja kwa kikabila cha kwao na maana hiyo ni lazima iwe common kwao na pengine ni kwa kuwa wanaongea lugha karibu moja, yawezekana lina maana moja kama vile kiwahili vile tunasemaga "Wa-ganda, Wa-Kenya, Wa-kongo, Wa- Nyantuzu nk. Au labda ni kama vile Ya - kiunganishi kil kikabila chao labda linakaa mwisho. Au ni kama vile tunasemaga Usukuma-ni, Unyakuysa-ni, Uzaramo-ni, Ukurya-ni, Uhaya-ni, Umatumbi-ni, Dunia-ni, Uchaga-ni, Uhehe-ni, Ugogo-ni n.k.
Haya ni mawazo yangu tu ya kusadikika.
Lakini usikute pia ni kitu kinachoaunganisha wote katika uliwengu wao wa mauaji. Unaweza kukuta ni kitu kama Jambia au damu!.
Who knows? Usilolijua ni usiku wa giza. It can be anything.
Tusubiri waje kiongozi watufafanulie kwa kina! Nitafurahi kufahamu pia kwa kuwa muda mrefu najiuliza ila sikufikiria kuuliza.