comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Nini maana ya neno STAN lile linaloishia kwenye nchi kama Pakistan ,Afghanstan, Kazastan, Uzerbarjanstan,na je Nchi hizi zinahusiana kihistoria?
Nini maana ya neno STAN lile linaloishia kwenye nchi kama Pakistan ,Afghanstan, Kazastan, Uzerbarjanstan,na je Nchi hizi zinahusiana kihistoria?
Nadhani ni root ya ........ kama ilivyo tele....telephone, telegram tele printer etcNini maana ya neno STAN lile linaloishia kwenye nchi kama Pakistan ,Afghanstan, Kazastan, Uzerbarjanstan,na je Nchi hizi zinahusiana kihistoria?
Ahsante mkuuArdhi au LAND, ni kama unavosema switzerland,england, ireland, na huku kwetu bongoland
Nini maana ya neno STAN lile linaloishia kwenye nchi kama Pakistan ,Afghanstan, Kazastan, Uzerbarjanstan,na je Nchi hizi zinahusiana kihistoria?
Uzi umefungwa???Ahsante mkuu
Au IA kama tanzania, zambia, namibia, argeria, somalia, albania na nyinginezo
Ha ha haaSTAN-Bakora
Maana yake ni nchi ya ... hivyo Hindu stan ni nchi ya Wahindu, Paki-stan ni nchi ya Wapaki, Afghan-stan ni nchi ya Waafghan, Kazak-stan ni nchi ya Wakazak n.k!