Nini maana ya neno STAN linaloishia kwenye nchi kama Pakistan, Afghanstan, Kazastan, Uzebajanstan?

Mkuu,naona wanachelewa kuja, watakuwa wanashughulika team amboni labda. Ninachohisi inawezekana linamaana moja kwa kikabila cha kwao na maana hiyo ni lazima iwe common kwao na pengine ni kwa kuwa wanaongea lugha karibu moja, yawezekana lina maana moja kama vile kiwahili vile tunasemaga "Wa-ganda, Wa-Kenya, Wa-kongo, Wa- Nyantuzu nk. Au labda ni kama vile Ya - kiunganishi kil kikabila chao labda linakaa mwisho. Au ni kama vile tunasemaga Usukuma-ni, Unyakuysa-ni, Uzaramo-ni, Ukurya-ni, Uhaya-ni, Umatumbi-ni, Dunia-ni, Uchaga-ni, Uhehe-ni, Ugogo-ni n.k.

Haya ni mawazo yangu tu ya kusadikika.

Lakini usikute pia ni kitu kinachoaunganisha wote katika uliwengu wao wa mauaji. Unaweza kukuta ni kitu kama Jambia au damu!.

Who knows? Usilolijua ni usiku wa giza. It can be anything.

Tusubiri waje kiongozi watufafanulie kwa kina! Nitafurahi kufahamu pia kwa kuwa muda mrefu najiuliza ila sikufikiria kuuliza.

Tabby mbona unapotosha umma.Hayo mauaji Ktk ulimwengu wao Ni yapi ?
Kama hujui maana ya swali pita tu.Usichafuwe Uzi huu wote tunajifunza.Tafadhali kuwa GT.
 
Nini maana ya neno STAN lile linaloishia kwenye nchi kama Pakistan ,Afghanstan, Kazastan, Uzerbarjanstan,na je Nchi hizi zinahusiana kihistoria?
Kwani nini maana ya neno 'ia' kwenye Tanzania, Nigeria Tunisia, Ethiopia, Algeria, Gambia, samalia, Mauritania, Liberia, Namibia????

Akili kumkichwa ebooh..!
 
Alietunga neno Tanzania....aliweka tan kwa tanganyika.... zan kwa zanzbar lakini hiyo ia,alifuata tu mlolongo wa wa majina ya nchi nyingi za kiafrika...

Sasa sijui huyo wa kwanza kuiona ia alikuwa na maana gani
 
post: 16317784 said:
Mkuu,naona wanachelewa kuja, watakuwa wanashughulika team amboni labda. Ninachohisi inawezekana linamaana moja kwa kikabila cha kwao na maana hiyo ni lazima iwe common kwao na pengine ni kwa kuwa wanaongea lugha karibu moja, yawezekana lina maana moja kama vile kiwahili vile tunasemaga "Wa-ganda, Wa-Kenya, Wa-kongo, Wa- Nyantuzu nk. Au labda ni kama vile Ya - kiunganishi kil kikabila chao labda linakaa mwisho. Au ni kama vile tunasemaga Usukuma-ni, Unyakuysa-ni, Uzaramo-ni, Ukurya-ni, Uhaya-ni, Umatumbi-ni, Dunia-ni, Uchaga-ni, Uhehe-ni, Ugogo-ni n.k.

Haya ni mawazo yangu tu ya kusadikika.

Lakini usikute pia ni kitu kinachoaunganisha wote katika uliwengu wao wa mauaji. Unaweza kukuta ni kitu kama Jambia au damu!.

Who knows? Usilolijua ni usiku wa giza. It can be anything.

Tusubiri waje kiongozi watufafanulie kwa kina! Nitafurahi kufahamu pia kwa kuwa muda mrefu najiuliza ila sikufikiria kuuliza.
Bila upotoshaji ulio kwenye posts zingine kwenye persian languages - waturuki, wakurdi, iraq, n.k. maana ya 'stan' ni land kama baadhi ya wadau walivyokwisha sema. Katika lugha hizo, 'bad' kama ilivyo kwenye neno Islamabad maana yake ni mji au jiji. Ni sawa na kusema Mexico-city.
 
Nini maana ya neno STAN lile linaloishia kwenye nchi kama Pakistan ,Afghanstan, Kazastan, Uzerbarjanstan,na je Nchi hizi zinahusiana kihistoria?
nazan hapo ulimaanisha Uzbekistan kuna Azerbaijan . Kuna zingine pia Kyrgyzstan. Wakurd nao wanataifa Lao lisiotambulika Kurdistan ambalo ni katkat ya Iran uturuk Iraq na Syria. Wana ndoto la kuanzisha taifa lao
 
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom