Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi nilidhani msemo unasema yaliyo pita si mbele, kumbe sivyo!
Hao ndo wahenga buana, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaliyopita si ndwele..
Kiswahili jamani[emoji119]
πππMimi nilidhani msemo unasema yaliyo pita si mbele, kumbe sivyo!
Aisee nlikuw sjui pia[emoji38][emoji38][emoji38]Ndwele ni maradhi ambayo muuguaji anaugua akipona baada ya muda flani yanakuja kujirudia tena. Mara nyingi hujirudia kwa kipindi maalum mfano kila mwaka au miezi kadhaa
GoodNdwele ni upele,ukurutu kujikuna kwakwenda mbali
Sasa ukiambiwa yaliyopita sindwele inamaanisha yaliyopita isiwe kama ugonjwa huo mbaya ambapo unaacha makovu yakudumu mwilini
Mimi nadhani Mbele ndio ingekuwa sahihi...Mimi nilidhani msemo unasema yaliyo pita si mbele, kumbe sivyo!