Nini maana ya ndoto hii?

Mit 3:5-6
Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.



Mit 16:25 SUV
Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu; Lakini mwisho wake ni njia za mauti.

Kut 33:15
Naye akamwambia, Uso wako usipokwenda pamoja nami, usituchukue kutoka hapa.
 
DINI NI NJIA ZA WANADAMU
(njia za wanadamu) huwa ni njema machoni pao wenyewe Mithali 21:2
Njia zote za mwanadamu huonekana sawa kwake, bali BWANA huupima moyo.

LAKINI NJIA ZA MWANADAMU(DINI)
Mit 16:25
Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu; Lakini mwisho wake ni njia za mauti.

NJIA SAHIHI NI IPI,DINI YA KWELI NI IPI
Yn 14:6
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

KATIKA HIYO DINI YAKO MTAFUTE YESU

Mdo 4:12 SUV
Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.



Kut 33:15
Naye akamwambia, Uso wako usipokwenda pamoja nami, usituchukue kutoka hapa.
(BILA YESU USIKUBALI)

bila msaada wa yule mtu mwenye kung'aa nuru ukiyemuona ndotoni anayeitwa YESU hutaweza peke yako kujiokoa mwenyewe wala hakuna mtu mwingine yeyote awezaye kumuokoa mwanadamu isipokuwa YESU pekee na yeye Yesu ndiye NURU,NJIA ,KWELI NA UZIMA.

usitegemee vitu au watu wengine au viumbe wengine wala usitegemee dini yako wala nguvu zako wala akili zako ...ni YESU PEKEE mwokozi awezaye kuokoa.
 
bila msaada wa yule mtu mwenye kung'aa nuru uliyemuona ndotoni anayeitwa YESU hutaweza peke yako kujiokoa mwenyewe wala hakuna mtu mwingine yeyote awezaye kumuokoa mwanadamu isipokuwa YESU pekee na yeye Yesu ndiye NURU,NJIA ,KWELI NA UZIMA

usitegemee vitu au watu wengine au viumbe wengine wala usitegemee dini yako wala nguvu zako wala akili zako ...ni YESU PEKEE mwokozi awezaye kuo
 
*bila msaada wa yule mtu mwenye kung'aa nuru uliyemuona ndotoni anayeitwa YESU hutaweza peke yako kujiokoa mwenyewe wala hakuna mtu mwingine yeyote awezaye kumuokoa mwanadamu isipokuwa YESU pekee na yeye Yesu ndiye NURU,NJIA ,KWELI NA UZIMA"

usitegemee vitu au watu wengine au viumbe wengine wala usitegemee dini yako wala nguvu zako wala akili zako ...ni YESU PEKEE mwokozi awezaye kuokoa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…