Nyota yangu
Member
- Feb 22, 2026
- 71
- 147
Wakuu
Nina swali naomba msaada wa tafsiri
Inanitokea naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninaowafahamu na nisiowafahamu
Kinachonishangaza ni kuwa ninashiriki tendo la ndoa mara kwa mara hivyo siyo kwamba nina upwiru(hali ya Kutoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara), hapana. Hata leo usiku jana nimeshiriki tendo la ndoa cha ajabu usingizini nikaota tena nashiriki na mtu mwingine.
Hii ni nini?