Nini maana ya mwambata wa Jeshi?

Nini maana ya mwambata wa Jeshi?

kiborinangai

Member
Joined
Mar 11, 2016
Posts
17
Reaction score
5
Wanajamvi habarinii za humu ndani wakuu naomba anaefahamuu MWAMBATA WA JESHI NI NANI NA NAPATIKANAJE NA ANAFANYA KAZI GANIII
 
Hili swali unauhakika huwachonganishi watu na jeshi kweli??
 
Ni mtaalamu wa mambo ya jeshi anayeambatanishwa katika ofisi ya ubalozi ya nchi. Kawaida anakuwa ofisa mkubwa wa jeshi anayekuwa anafanya kazi ubalozini. Mara nyingine hupata nafasi ya kufanya kazi za kijeshi uwanjani na majeshi ya nchi nyingine.

A military attaché is a military expert who is attached to a diplomatic mission (an attaché). This post is normally filled by a high-ranking military officer who retains the commission while serving in an embassy. Opportunities sometimes arise for service in the field with military forces of another state.

Military attaché - Wikipedia
 
ahsantee mkuuuu umenitoa katika giza mkuu
 
majibu safi hayo hapo juu, pia mara nyingi uwa mtu wa usalama pia.
 
Ni mtaalamu wa mambo ya jeshi anayeambatanishwa katika ofisi ya ubalozi ya nchi. Kawaida anakuwa ofisa mkubwa wa jeshi anayekuwa anafanya kazi ubalozini. Mara nyingine hupata nafasi ya kufanya kazi za kijeshi uwanjani na majeshi ya nchi nyingine.

A military attaché is a military expert who is attached to a diplomatic mission (an attaché). This post is normally filled by a high-ranking military officer who retains the commission while serving in an embassy. Opportunities sometimes arise for service in the field with military forces of another state.

Military attaché - Wikipedia
Safi mkuu umemjibu barabara
 
Ubalozi upi
Ubalozi wa nchi yake katika nchi nyingine.

Kwa mfano, mwambata wa jeshi wa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani anakuwa afisa wa kijeshi wa jeshi la Tanzania anayefanya kazi katika ubalozi wa Tanzania Marekani.
 
Back
Top Bottom