Hiyo sio ridhiki mafungu saba,ridhiki ni matundu saba,mawili ya masikio,mawili ya pua,moja la mdomo,moja la haja ndogo na moja la haja kubwa,Mungu hawezi yafunga matundu yote hayo ukiwa hai,hata likifungwa hili lingine litakuwa wazi,kwahiyo tusikate tamaa wala kulaumu