Hizi story nimekuwa nikizisikia, kuna watu kwenye maisha yaki wakiingia, utaandamwa na mikosi na hakuna ufanyalo ukafanikiwa. Kama ulikuwa na mali, basi utapukutika zote kiajabu kabisa.
Je umewahi isikia hii, unachochote tukajuzana zaidi juu ya hili.
Karibu.