Nisaidieni kunijuza maana watu wengi wanapenda kusema wamekula yamini, je yamini ni kitu gani?Msaada tafadhali ikiwezekana kama mtu ana picha ya chakula cha yamini aiweke hapa.
Ni chakula kitamu sana chenye mchanganyiko wa dengu na ngano....vinapikwa kwa wingi sana maeneo ya ukanda wa pwani....hasa pale maeneo ya forodhani huko Zanzibar.......