LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 19,899 Reaction score 37,699 May 29, 2014 #1 Heshima mbele wakuu. Kwa anaye fahamu maana ya jina Nyerere atufahamishe tafadhali. Nadhani ni vyema kujua maana ya jina la muasisi wa taifa letu. ASANTENI SANA.
Heshima mbele wakuu. Kwa anaye fahamu maana ya jina Nyerere atufahamishe tafadhali. Nadhani ni vyema kujua maana ya jina la muasisi wa taifa letu. ASANTENI SANA.
zumbemkuu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 11,339 Reaction score 9,815 May 29, 2014 #2 duh! sijui hata ulifikiria nini??? mie nijue maana ya Jakaya Mrisho Kikwete Mkapa Membe Lukuvi Wasira
duh! sijui hata ulifikiria nini??? mie nijue maana ya Jakaya Mrisho Kikwete Mkapa Membe Lukuvi Wasira
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,759 Reaction score 50,832 May 29, 2014 #3 LIKUD said: Heshima mbele wakuu. Kwa anaye fahamu maana ya jina Nyerere atufahamishe tafadhali. Nadhani ni vyema kujua maana ya jina la muasisi wa taifa letu. ASANTENI SANA. Click to expand... Kuna sehemu niliona Nyerere ni udodi ambayo ni aina fulani ya mimea itumikayo kusukia vikapu
LIKUD said: Heshima mbele wakuu. Kwa anaye fahamu maana ya jina Nyerere atufahamishe tafadhali. Nadhani ni vyema kujua maana ya jina la muasisi wa taifa letu. ASANTENI SANA. Click to expand... Kuna sehemu niliona Nyerere ni udodi ambayo ni aina fulani ya mimea itumikayo kusukia vikapu
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 19,899 Reaction score 37,699 May 29, 2014 Thread starter #4 marxlups said: Kuna sehemu niliona Nyerere ni udodi ambayo ni aina fulani ya mimea itumikayo kusukia vikapu Click to expand... Realy? ni kwa kilugha gani?
marxlups said: Kuna sehemu niliona Nyerere ni udodi ambayo ni aina fulani ya mimea itumikayo kusukia vikapu Click to expand... Realy? ni kwa kilugha gani?
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 19,899 Reaction score 37,699 May 29, 2014 Thread starter #5 zumbemkuu said: duh! sijui hata ulifikiria nini??? mie nijue maana ya Jakaya Mrisho Kikwete Mkapa Membe Lukuvi Wasira Click to expand... To know is a blessing.
zumbemkuu said: duh! sijui hata ulifikiria nini??? mie nijue maana ya Jakaya Mrisho Kikwete Mkapa Membe Lukuvi Wasira Click to expand... To know is a blessing.
S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,637 May 29, 2014 #6 zumbemkuu said: duh! sijui hata ulifikiria nini??? mie nijue maana ya Jakaya =mzalendo kwa wageni Mrisho =mtiifu kwa chama Kikwete =mwaminifu wa mikataba Mkapa =mweka hazina Membe =mtaalam wa kinga Lukuvi =mratibu wa elim Wasira=mzee wa utalii Click to expand... niko tayari kukosolewa
zumbemkuu said: duh! sijui hata ulifikiria nini??? mie nijue maana ya Jakaya =mzalendo kwa wageni Mrisho =mtiifu kwa chama Kikwete =mwaminifu wa mikataba Mkapa =mweka hazina Membe =mtaalam wa kinga Lukuvi =mratibu wa elim Wasira=mzee wa utalii Click to expand... niko tayari kukosolewa
zumbemkuu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 11,339 Reaction score 9,815 May 29, 2014 #7 Skype said: niko tayari kukosolewa Click to expand... hahaha, mkuu siku hizi hata ukiweka meno na kucha store watakunyoa kipara na chupa, loh
Skype said: niko tayari kukosolewa Click to expand... hahaha, mkuu siku hizi hata ukiweka meno na kucha store watakunyoa kipara na chupa, loh
S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,637 May 29, 2014 #8 zumbemkuu said: hahaha, mkuu siku hizi hata ukiweka meno na kucha store watakunyoa kipara na chupa, loh Click to expand... siogopi ng'o hata waje na jeshi zima lazima watakwama
zumbemkuu said: hahaha, mkuu siku hizi hata ukiweka meno na kucha store watakunyoa kipara na chupa, loh Click to expand... siogopi ng'o hata waje na jeshi zima lazima watakwama