SILENT WHISPER
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 2,209
- 821
Nilikuwa na infection ambayo niliandikiwa matibabu ya Cipro kwa wiki tatu. Matokeo yake hiyo dawa imenisababishia side effect mbaya sana ijulikanayo kama C. Dificile na pia kuwashwa na ngozi kama nachomwa na sindano.
Naomba msaada wa kutibu ugonjwa huu maana kila nikienda hospitali naandikiwa Flagy ambayo haijanisaidia.
Nimeambiwa tiba sahihi inaitwa Fecal Transplant.Kama kuna mtaalamu wa kutibu ugonjwa huu tafadhali naomba msaada wako.
Thanx in advance.