Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,390
- 15,188
Magufuri alikuwa raisi wa hovyo sana
Kuna siku litazibikaMagufuli ameacha pengo kubwa sana la uongozi, halizibiki.
Kwani lini Mkulina wa Nchi hii aliwahi kufaidi keki ya taifa ? Ni viongozi na wanasiasa tu ndio wanafaidi keki ya Taifa tangu Nchi hii IUBWE.Acha matusi, mkulima anafaidi keki ya taifa?
Embu fafanua.
Kazikwe pembeni yake palehuna point ya maana kifupi mi namkubali magu.
Hahaaaa! Jamaa umepigilia msumari, ivi yule jamaa mbinafsi vile anavyosifiwa sijui. Amefosi kijijini kwake kulikuwa kunaelekea kupata hadhi ya manispaa kwa gharama za umma, stendi kubwa, hospitali kubwa ya rufaa ya kanda, barabara za lami mitaa yote na taa, benki mbili kubwa crab na nmb zimejengwa nje ya geti la nyumbani kwake, uwanja wa ndege wa kimataifa uliojengwa na kampuni ya mpwa wake, vyuo vikubwa kwake, akyanani yule jamaa kama Mungu angemuacha miaka mitano(plus ile chawa wake waliojipanga kumuongezea), tungekwisha. Raisi anahamishia shughuli za serikali kijijini kwake miezi mi3???? Movements za magari kwenda chato kwa miezi mi3 mfululizo kupeleka mafaili na, viongozi kisha kulala kwenye hotel zake kwa gharama za serikali??? Kwa kifupi JK bado namdai deni kwa kutuletea huyu mtu. Hao wamachinga wanaomkumbuka ni wale mbumbumbu aliokuwa anawaambia wapange bidhaa barabarani na mbele ya maduka ya walipa kodi halali, na zile kick za kuwanyang'anya wenye nacho huku akisema anafanya kwa ajili ya wanyonge. Mm jiwe kuna baadhi ya vitu ali perform lakn vingi aliharibu. Mimi kwa kifupi kiongozi yeyote mwenye background ya umaskini hafai kuongoza nchiKazikwe pembeni yake pale
So alikuwa rais peke yake nchi hiiMagufuli ameacha pengo kubwa sana la uongozi, halizibiki.


KabisaMitaani watu wamelewa propaganda za magu na uelewa wa Mambo ya nchi ni duni..hawajui FDI,gdp Wala nini,wao Mambo kuwa magumu Leo hawadhani ni athari za magu..magu ilikua ajali kubwa ya kisiasa kupata kutokea nchi hii
alipokomea ndio hapo,kwani mama enu anafanya nn kama sio kuzurura na kuigza tu.Kazikwe pembeni yake pale
Huo ni mtaa gani. Mpuuzi kweli nenda chooni umevimbiwaHabari ,Hivi wanaJF kuna nini Nyuma ya Tofauti hizi Mbili ambazo ziko wazi zinajionyesha :-
1. Mitaani watu wanamkubali Sana Hayati JPM kuliko Mitandaoni .
2. Mitaani wanaona kuna Ugumu wa maisha na tunapotea Mitandaoni idadi kubwa wanaona tunarudi kwenye mstari na tunaenda vizuri.
Binafsi nimefuatilia sana nimekosa Jibu Hasa kwenye huu mlinganisho wa hizi Awamu .