Hizi pichaa zina maana kubwa kila mmoja ajifunze kitu hapa :-
View attachment 403908View attachment 403909View attachment 403910View attachment 403911
DahLabda aje January makamba ndio ataweza kuzifafanua maana ndio mtaalamu Wa picha kama hizi



Mkuu huo utalamu wa kusoma picha aliupatia wapi?Labda aje January makamba ndio ataweza kuzifafanua maana ndio mtaalamu Wa picha kama hizi
Ingawa zina maana kubwa moja lakini kila msomaji kutokana na hali yake anaruhusiwa kuzitafsiri kuendana na maisha yake (circumstances)Mimi ninaweza kutoa maana zake ila utakataa
Mkuu ww umesahau picha zake zile za kipind magufuli alipokuwa prezi daaMkuu huo utalamu wa kusoma picha alioupatia wapi?
mnipe maana ya hiyo picha jamaa kama anawaza na mawazoni kuna mtu kakaa halafu kazunguwa na panya hivi.