Bishazo_june
Member
- Jul 3, 2023
- 42
- 55
Sielewagi hiki kidude Huwa ni Nini au kinatumika kufanya Nini bungeni...kabala ya vikao kuanza Huwa kinaletwa na vikiahilishwa kinaondolewa pia...Kwa anae kielewa atusaidie Mimi na wasiojua wengine....
Naomba jina lake...
Lengo la kuwa bungeni ...
Kilianza kutumika lini...
Na ni utamaduni wa wapi wa kuwa na kidude Cha hivi.....
Kwa Nini kinaondolewa na kuletwa kila siku...
Naomba jina lake...
Lengo la kuwa bungeni ...
Kilianza kutumika lini...
Na ni utamaduni wa wapi wa kuwa na kidude Cha hivi.....
Kwa Nini kinaondolewa na kuletwa kila siku...