ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,796
- 60,635
Mkuu sony xperia z sh ngap??Hata Sony Xperia ni nzuri
Take a time to google. Kila kitu kipo hukoKila ikizima nikisema niiwashe inaandika hivyo na inakaa muda mrefu
Android is upgrading
Optimizing app
1 to 200
Ina loading mda mrefu ndo iwake hata 30 minutes
TECNO_8H
Ina apps nying
Nikweli cm isha chezewa hiyo chakufanya install official OS achana na mambo ya ku root kama haiwezi uza nunua cm nyingine Iphone, x peria, blakberry, HTC, LG, kama Huawei anzia P6Hiyo simu imechezewa tayari hasa kwenye upande wa root au flashing
Nina Sony Experia Z inatatizo kama hilo, sikumbuki nini kilisababisha. Nahisi kati baada ya kubsdili display au baada ya ku upgrade kwenda lolipop. Nimejaribu kuidowngrade wapi. Nikiwa natumia inaoata moto kisha inajizima. Ukiiwasha ina onyesha adroid is upgrading baadaye ina optimize apps. Inachukua muda kuwaka. Sasa nimei pack sijapata solution yake.Kila ikizima nikisema niiwashe inaandika hivyo na inakaa muda mrefu
Android is upgrading
Optimizing app
1 to 200
Ina loading mda mrefu ndo iwake hata 30 minutes
TECNO_8H
Ina apps nying
Nashukuru mkuu utakuja, bado sijajua kama hizi hatua zitaondoa pia tatizo la simu kupata joto. AsanteHii kwa kawaida ilianza na Android lollipop, sana sana inatokea ukifanya mabadiliko kwenye system kwa mfano umeupdate Os version, ukinstall security updates, ukiroot simu yako, ukiweka custom recovery tofauti n.k. Sasa ukifanya haya mabadiliko wakati bado kuna apps zipo installed (yani aujafanya format) system itajaribu kuzi "optimize" ili apps zako na hii update (mabadiliko) uliyofanya visikorofishane na kuleta matatizo kwenye matumizi ya simu yako.
Sasa kama hichi kitu kimetokea mara moja, basi hakuna shida lakini kama kinatokea kila ukiwasha simu yako basi kuna tatizo nadhani kutakuwa na app inafanya system level changes kila saa na ushauri wangu kwanza fanya:
1. Fanya Factory Reset, ukimaliza install application kama 4 alafu zima then washa simu yako tatizo kama bado lipo. Fuata step 2
2. Tafuta Rom ya simu yako, flash upya ndio solution itakayokusaidia.
*Steps zote hizo zitafuta data zako.
Asante kwa kuja mkuu.. Nimepata somo hapaHii kwa kawaida ilianza na Android lollipop, sana sana inatokea ukifanya mabadiliko kwenye system kwa mfano umeupdate Os version, ukinstall security updates, ukiroot simu yako, ukiweka custom recovery tofauti n.k. Sasa ukifanya haya mabadiliko wakati bado kuna apps zipo installed (yani aujafanya format) system itajaribu kuzi "optimize" ili apps zako na hii update (mabadiliko) uliyofanya visikorofishane na kuleta matatizo kwenye matumizi ya simu yako.
Sasa kama hichi kitu kimetokea mara moja, basi hakuna shida lakini kama kinatokea kila ukiwasha simu yako basi kuna tatizo nadhani kutakuwa na app inafanya system level changes kila saa na ushauri wangu kwanza fanya:
1. Fanya Factory Reset, ukimaliza install application kama 4 alafu zima then washa simu yako tatizo kama bado lipo. Fuata step 2
2. Tafuta Rom ya simu yako, flash upya ndio solution itakayokusaidia.
*Steps zote hizo zitafuta data zako.
Nashukuru mkuu utakuja, bado sijajua kama hizi hatua zitaondoa pia tatizo la simu kupata joto. Asante