NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,840
- 5,097
JF Ni darasa la kuelimishana
Hivi karibuni Humphrey Polepole kanyang'anywa hadhi ya kibalozi na mama yetu wa taifa SSH
Wibroad Slaa naye kuna wakati alisema na ubalozi wenu chukueni.
Je mtu akinyang'anywa hiyo hadhi ni kipi anakosa hata kama sio balozi tena maana anakuwa hawajamkata kichwa.
Na je na ambaye ameshastaafu lakini hakunyang'anywa hiyo hadhi ni kitu gani bado anafaidika nacho?
Naomba weledi waje