NINI MAANA YA FILE EXTENSION: CEPVI File (.cepvi) MSAADA PLSE

NINI MAANA YA FILE EXTENSION: CEPVI File (.cepvi) MSAADA PLSE

abagabo

Senior Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
155
Reaction score
168
Heshima kwenu, video file zangu zote pamoja na photo zote zinaonesha type of file: CEPVI File (.cepvi), na sasa hazifunguki. Msaada tafadhali, nimetafuta msaada kwenye net nimekosa
 
Mkuu nitarudi. Ila sitaki kuamin umekua attacked na ransomware. Wait nitarudi
 
hiyo extension ndio naiona leo, huenda zishakuwa corrupted mkuu
 
Back
Top Bottom