alichomekea kwa sababu lazima walihitaji experienceNi cheti ya utumishi kama ulishawahi fanya kazi sehemu, inaelekeaumechomekea kwenye CV kwamba ulifanya kazoo hivyo wanataka ku-connect dots.
Hapo sasa............alichomekea kwa sababu lazima walihitaji experience
Hii ni uthibitisho wa kuwa ulifanya kazi fulani na sehemu fulani,hutolewa na mwajiri wa hiyo kazi uliokwishakuifanya.Kuna mahali fulani nilituma CV yangu kwa ajili ya kuomba kazi sasa leo wakawa wamenipigia simu wakiomba niwatumie baadhi ya documents zangu zingine. Moja ya document waliyoiomba ni certificate of service. Nimejaribu kutafuta mtandaoni lakini bado sijapata clear definition kwamba hii ni document gani.
Msaada please kwa anayefahamu.
😀😀😀😀😀Kwenye interview utafaulu kweli, kama certificate of service tuu hujui maana yake. Duu??
Sent using Jamii Forums mobile app
imbombo ingafuHapo sasa............
kikikiikikiki, loh aiseee hatareeeeKwenye interview utafaulu kweli, kama certificate of service tuu hujui maana yake. Duu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Vile vile CERTIFICATE OF SERVICE huandikwa sababu ya kuacha kazi mahala amabapo umetaja kwenye CV kuwa uliwahi fanya kaziKuna mahali fulani nilituma CV yangu kwa ajili ya kuomba kazi sasa leo wakawa wamenipigia simu wakiomba niwatumie baadhi ya documents zangu zingine. Moja ya document waliyoiomba ni certificate of service. Nimejaribu kutafuta mtandaoni lakini bado sijapata clear definition kwamba hii ni document gani.
Msaada please kwa anayefahamu.
Ku-connect dots siku hizi niku-Google jina lako full bhaaasi. Unaachwa mtupu kupitia mtandaoniNi cheti ya utumishi kama ulishawahi fanya kazi sehemu, inaelekeaumechomekea kwenye CV kwamba ulifanya kazoo hivyo wanataka ku-connect dots.
Kuna mahali fulani nilituma CV yangu kwa ajili ya kuomba kazi sasa leo wakawa wamenipigia simu wakiomba niwatumie baadhi ya documents zangu zingine. Moja ya document waliyoiomba ni certificate of service. Nimejaribu kutafuta mtandaoni lakini bado sijapata clear definition kwamba hii ni document gani.
Msaada please kwa anayefahamu.
Yenye taarifa ya kumbukumbu ya utendaji wako na anakupa muajiri wako wa sasa kama unataka kurenew mkataba au unapewa na muajiri wako wa zamani ili itumike kuonesha umahiri wako katika kazi au uhovyohovyo wako katika kazi.Hiyo Nyaraka inakaa kwenye fiie lako na anatunza muajiri wako.Mfano umewahi Fanya kazi vodacom mkataba kwisha lakini ukaomba ajira pale Tigo hivyo kale kabarua chako cha historia ya utendaji kazi voda wanakitaka.Inawezekana Pale voda ukikuwa mtoro,kibaka au mtendaji mzuri.Sasa kama ukiacha kazi kwa nyudo na mitusi hiyo kitu hakupi au wanakuandikia vibaya hivyo no Job ulipoomba ajira mpya.Haaaaa.Nakukumbuka sana ulivyonitukana sasa hapa Mimi ndiyo HR kazi unayo na kule sikukupa ile barua ya uthibitisho .