LUPITUKO
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 279
- 184
Wadau nimezoea kuendesha gari zenye alama ya P-R-N-D-L-2 kwenye gear. Sasa majuzi nimenunua kigari cha Allteza baada ya mambo kubana sana. Pale kwenye D wameongeza D-3 naomba kujua hio 3 ni ya nini na matumizi yake ni ipi. Hako kajamaa Kana CC 2000 yaani 6 cylinder.