Nini maana na tofauti ya FULL HD na READY HD

Nini maana na tofauti ya FULL HD na READY HD

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Nisaidieni wanaJF wenzangu kwenye hizi tv za LCD ambazo baadhi unakuta wameandika full hd na ready hd ni nini tofauti zake??
 
Kuna rafiki yangu anaitwa 3D.....akiona hii.....atakusaidia mara moja....ngoja aje....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom