BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,182
- 11,779
Wasalaam,kuota ni kawaida kibinadamu.Ila natamani nijue maana hii ndoto.
Nimeota nimeshika Hot Pot ina Pilau nzuri sana.Nikawa napita njiani watoto wadogo wananifuata wanataka niwape.
Nikawa nawapa kidogo ila bado wanataka na wananifuata.
Wadau nini maana yake