Shayu
Platinum Member
- May 24, 2011
- 608
- 1,655
Nini lilikuwa lengo la Mungu kumuumba mwanamke na mwaume?
Sio kutoa kiumbe kinachofanana nao ili kulinda kizazi? Ili vizazi vya binadamu visipotee kwenye uso wa dunia?
Je tunaitumia ngono ipasavyo au tunaharibu malengo ya Mungu yaliyowekwa ndani yetu?
Malengo ya Mungu sio ndoa?
Je ni lengo la Mungu kuifanya ngono kuwa burudani? au jambo la mchezo mchezo?
Ukweli ni kwamba ni sacred act perfomed btn two married people. Man/woman.
Kufikiri kwamba mwanamke au mwanaume ni object of pleasure ni fikra ambazo so sahihi.
Binadamu wameumbwa na heshima zake. Na uwezo wa kufikiri kilicho sahihi na potofu. Na ametofautishwa na wanyama kwa kupewa fikra. Not object of pleasure.
Zaidi ya hapo tumegundua mengine hata kwa sehemu zile zisisopaswa kimatumizi tunafanya. Tunaweza kujitetea kwa hili kwa mfano mwanaume kwa mwanaume kuoana?
Can we justify ourselves?
Tuna la kujitetea?
We are crooked.