Amani Iwe Juu Yenu!
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale kwa ajili ya kujitafutia riziki! Nisiwachoshe sana,ngoja niende moja kwa moja kwenye mada! Kuna siku mwezi uliopita nilikuwa mtaani,nikawakuta vijana wanajadili juu ya maisha ya ndoa! Walikuwa wanamjadili mwanamama fulani hivi mtaani let say tumwite X! Mmoja akasema yule mama X mpaka saizi hajapata mtoto na yuko around 40+ na yuko kwenye ndoa muda mrefu tu! Mwingine akasema usiwaone watu wanatembea barabarani, wanaendesha magari mazuri, wana maisha mazuri kumbe katika mioyo yao wana misukosuko mingi sana! Nilichukua muda kuwasilikiliza michango yao nami kutafakari juu ya hayo mawazo yao kwani ni mengi waliongea, kisha nikawauliza kwani MTU anapoamua kuoa au kuolewa, lengo lake au matazamio yake makubwa huwa ni nini! Mmoja alisema ni kurahisisha upatikanaji Wa lile TENDO kihalali na kwa muda unaotaka wewe. Wengine wote walisema lengo la kwanza kabisa huwa nikupata watoto, mengine haya ni mbwembwe tu! Leo nimeikumbuka hii mada nikaona niilete na kwenu pia ili mjaribu kutoa mawazo ambayo kwa namna moja au nyingine yatawasaidia wale walioko kwenye ndoa na wale tunaojiandaa kuingia!!
Karibuni kwa michango!!
Amani ikushukie pia,,,,,,Amani Iwe Juu Yenu!

Amina!Amani ikushukie pia,,,,,,
Lenga la ndoa,,
1. Kuleta sitara Na uhalali wa tendo la kujamiina,,,,,
2. Kukongezeka kwa idadi ya jamii ya viumbe husika,,,hili si lazima maana wengine hupewa majaribu ama mtihani Na Muumba,,,
3. Kupunguza laana Na uchafu wa maasi baina ya viumbe,,
You are going to find yourself alone lol!Usiolewe kwa kuwa tu rafiki yako kaolewa,,Usiolewe kwa kuwa umri unaenda, Usiolewe kisa wazazi wanauliza utaolewa lini,Usiolewe kisa wazazi wamechangia sana ndoa za watu!! Olewa endapo tu mpango Wa mungu wewe uolewe ndoa za siku hizi ni mabomu yanalipuka muda wowote ikiwa umeingia kwa kuondoa nuksi...
Dhambi ni dhambi mkuu umeoa unaendeleza michepuko,majungu,umbea na fitina zote hizo ni sawa na yule ambaye hajaoa anagegeda mtaani tu.Maana hakuna dhambi kubwa na ndog😵ndoa kwanza boriti alafu uje uondoe vibanzi.tunafunga ndoa ili tujenge familia halali zinazo pendezwa na muumba wetu pia ndoa inapunguza ongezeko la dhambi
Hah. Tupe habari inakuwajeUkitaka kujua lengo la kuoana ni nini ni rahisi sana!......Fanya experiment rahisi, wewe kaa bila kuoa au kuolewa parmanently halafu uone ni nini kitatokea!!!