vijana mitaani wanapenda kukitaja kama tusi kuu, walevi wanapolewa wanakua wepesi kukitaja...wamama au wadada ukiwaudhi tusi kubwa watakalokutukana ni kujaja kiungo hicho huku hata wao wanacho,,..JIHESHIMUNI BWANA HAMJUI BILA HKI KIUNGO USINGEZALIWA?..,kiungo hki mnakiitaje kwenye kabila lenu