Nini kitatokea Tanzania tukiwa na mnara wa kilomita 50 kwenda juu?

Hilo nimeliwaza maana uwezo wa sattelite hatuna
Mkuu unataka ndege ziwe zinajigonga tu..!!

Huu ni muda wa kufunguka fursa za maswala ya anga I mean kama voda wanakuwa na satellite zao huko juu! Hii itarahisisha zaidi maana mawasiliano yatakuwa yanapatikana popote!!..
Elon musk anataka aje aweke satellite hivyo kutaleta wepesi zaidi.. huyu jamaa kaona mbali na huko mbeleni atakuja kuwa na utajiri wa kutosha maana naona makampuni ya simu wataacha kutumia minara!.. itakuwa ni mwendo wa kumpa tenda jamaa awarushie hayo makampuni satellite..

Kama sahivi amekuwa akipata tenda za NASA kupeleka wanaanga huko juu kwenye international space station...
Hali imeshajionyesha huko mbeleni kutakuwa na mchuano mkali kwenye makampuni ya anga haswa haya ya binafsi watu wanawekeza hela si kitoto..
Inajionyesha dhahiri soko sahivi la ajira linaelekea kwenye haya maswala ya technology.. IT information technology..
Badala ya kupanda mnara na kwenda kutengeneza hayo madude.. huko mbeleni itakuwa ni kuvaa space suit na kwenda kutengeneza hizo satellite! Things are getting bigger ndugu.. tukiambiwa tusomeshe watoto TEHAMA Kama vile hatuoni! Wazazi badilikeni mitazamo ili kizazi kijacho kisichelewe kuyafahamu haya!..
Leo hii tu watu wanapigwa hela kwasababu ya kutokujua vitu vidogo vidogo tu kwenye maswala ya technology!..

World is going into the smartness!..
After calling these devices smart phone, smart watch, smart TV we are going to call this planet as SMART WORLD..

The future is in our mind and hands.
 
Ni kweli dunia haitegemei minara lakini siyo Africa mkuu
Hvi niulize wajuvi siku hizi mawasiliano ya sasa yanategemea urefu wa minara??na hii kasi ya 4G tukienda 5G kwanza numewaza mnara wa viwanja vya mpira 2-3 nikalinganisha KM 30-50 nikafikiria mnara ukiulaza kuanzia ubungo hadi kibaha "ngachoka"Au kuanzia Mwenge hadi bagamoyo nikafikiria base yake inatakiwa kuwa kijiji cha mwenge ndo ukubwa wa masingi ila mleta post alimaanisha mita nadhani siyo KM ila dunia yasasa aitegemei tena minara mfano ni hizi drone zingetegemea minara zingekuwa zinakosea shabaha ila kwakuwa zinatumia satellite ndiyo maana zinafanya kazi kwa umakini zaidi.
 
kurusha matangazo mpaka nchi za jirani.kufunga vifaa vya kijeshi kwa ajili ya usalama n.k haya mambo yote yanawezekana hata bila kujenga mnara mrefu.
 
Material zenye wepesi na nguvu kuhimili uzito wa mnara bado kugunduliwa. Ndugu watanzania waliopitia somo la strength of materials structures wamenielewa.
 
Nawaza tu kwa sauti chukulia mnara wenye muonekano kama mnara wa simu mnara kwenye kilomita 50 kwenda juu?

Hatuna uwezo wa kuunda sattelite wala rada wala chochote kile lakini vipi tukiwa na mnara wenye urefu wa kilomita aidha 20 au 30 au 40 au 50 kutoka Ardhini hadi juu mawinguni?

Nimewaza hivyo kwasababu juu ya huo mnara tutaweza kufunga

1.Vifaa vya mawasiliano mfano Mitambo ya kurushia matangazo ya tv channels zote zikawa zinapatkana nchi nzima na nchi jirani maana ni mnara mrefu zaidi kuliko hili la kujenga minara kila mahali

2.Kufunga vifaa vya kijeshi

3.Kufunga vifaa vya mawasiliano kama mitandao ya simu

4.Hii kama mbadala wa sattelite mnara huu mrefu kabisa kufungwa vifaa kama hivi unaweza kusaidia nchi nzima kuwa na uhakika wa upatikanaji wa huduma za channels ubora wa picha, upatikanaji nzuri wa networks na signals na kupunguza utitiri wa kuwa na minara kila mahali,kupunguza utegemezi wa mitambo kutoka nje na sattelite pia itapunguza gharama za mawasiliano na pia huduma za tv visimbusi zitakua zinapatkana nchi nzima na kwa ubora na usawa kwa kila mmoja maana sio kama sasa hv aliyepo kijijni anaweza akawa anapata changamoto ya mawasiliano au poor signal tofaut na aliyepo mjini lakini hii itaondoa hilo maana kutakua na uhakika na upatkanaji wa huduma za tv,mawasiliano sehemu zote na kwa ubora

Mfano minara minefu ina faida zake mfano mnara wa Warsaw "It operated as a mast radiator (half-wave radiator), so its height was chosen in order to function as a half-wavelength antenna at its broadcasting frequency. The signals from its 2 megawatttransmitters could be received across essentially the entire globe. Its weight was debated; Polish sources claimed 420 tonnes (930,000 lb)".huu ni mnara wa kawaida tu wenye urefu karibia jengo la dubai vipi kuhusu mnara wa kilometa hata 20?S unacover dunia nzima kbs?
Nchi gani upp huo mnara? Km 50 kwenda juu?
 
Huo mnara utasaidia kuondoa umasikini wa watu wetu? Au ndio mtapita mitaani kujifia mmejenga mnara?
 
Sawa, ngoja kwanza nimalizie kuchambua nyaya hapa
FB_IMG_1598109545588.jpeg
 
Nawaza tu kwa sauti chukulia mnara wenye muonekano kama mnara wa simu mnara kwenye kilomita 50 kwenda juu?

Hatuna uwezo wa kuunda sattelite wala rada wala chochote kile lakini vipi tukiwa na mnara wenye urefu wa kilomita aidha 20 au 30 au 40 au 50 kutoka Ardhini hadi juu mawinguni?

Nimewaza hivyo kwasababu juu ya huo mnara tutaweza kufunga

1.Vifaa vya mawasiliano mfano Mitambo ya kurushia matangazo ya tv channels zote zikawa zinapatkana nchi nzima na nchi jirani maana ni mnara mrefu zaidi kuliko hili la kujenga minara kila mahali

2.Kufunga vifaa vya kijeshi

3.Kufunga vifaa vya mawasiliano kama mitandao ya simu

4.Hii kama mbadala wa sattelite mnara huu mrefu kabisa kufungwa vifaa kama hivi unaweza kusaidia nchi nzima kuwa na uhakika wa upatikanaji wa huduma za channels ubora wa picha, upatikanaji nzuri wa networks na signals na kupunguza utitiri wa kuwa na minara kila mahali,kupunguza utegemezi wa mitambo kutoka nje na sattelite pia itapunguza gharama za mawasiliano na pia huduma za tv visimbusi zitakua zinapatkana nchi nzima na kwa ubora na usawa kwa kila mmoja maana sio kama sasa hv aliyepo kijijni anaweza akawa anapata changamoto ya mawasiliano au poor signal tofaut na aliyepo mjini lakini hii itaondoa hilo maana kutakua na uhakika na upatkanaji wa huduma za tv,mawasiliano sehemu zote na kwa ubora

Mfano minara minefu ina faida zake mfano mnara wa Warsaw "It operated as a mast radiator (half-wave radiator), so its height was chosen in order to function as a half-wavelength antenna at its broadcasting frequency. The signals from its 2 megawatttransmitters could be received across essentially the entire globe. Its weight was debated; Polish sources claimed 420 tonnes (930,000 lb)".huu ni mnara wa kawaida tu wenye urefu karibia jengo la dubai vipi kuhusu mnara wa kilometa hata 20?S unacover dunia nzima kbs?
Utalemewa na uzito wa marehemu.
 
Back
Top Bottom