Nini kitatokea endapo jua litazima/ litapotea?

Jibu lake nakuletea soon baada ya uchambuzi na utafiti wa muda mrefu 🤓
 
Jua linahusika katika kuupa mwili wa human homo nishati ya kukontrol organ zake c kwa homo tu hata viumbe vingine,mfano hai ni chaji ndani ya betri betri ndani ya simu inawasha simu na kazi yaendelea jua sio mwanga tu kama mnavyotizama ni kiunganishu uhai.
 
Ndio maana mwili haujawai kupoa toka ukiwa kijusi tumboni.
 
Nimeelewa, tatizo ni wewe kutaka nifikirie kama wewe KUWA KUNA MIPAKA YA KUFIKIRI. Hii haiwezekani, nitabaki na msimamo wangu kuwa hakuna mipaka. Cha msingi ni logics, ila nimekuelewa.
Achana naye huyo.

Ni type ya watu wanaposhindwa kufikiri beyond their capacity wanaanza kusingizia serikali, ndugu, jamaa na marafiki kwamba ndo wamesababisha maisha yao kuwa magumu.
 
Tutakupereka makaburini tutakufukia shimoni kwa udongo na kusema kazi ya mungu haina makosa ila usisahau usiache kufanya ibada
 

Subiri lizame kwanza,ndio tutapata jibu.
 
Jua ndo chanzo cha gravity? Hii kusoma kwangu kote sijawahi bambana nayo.
 
jua sio chanzo ya gravity,wala nishati.jua ni sehemu ya universe na uwepo wake ni sehemu ya ulimwengu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…