Sticky_fingers
Member
- Jul 30, 2018
- 49
- 42
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Giza pumbavuu!!!!
Asante kwa jibu zuri ila jua ni zaidi ya mwanga na giza.Giza pumbavuu!!!!
Inatakiwa iwe jukwaa lipi ndugu, pia kuuliza sio ujinga.Kusema ukweli hii habari haifai kuwa jukwaa hili,swali lako hata mtoto anaweza jibu
Jua ni zaidi ya kutoa mwanga.Ikitokea limezima wazungu kwakuwa wana akili watatengeneza jua artificial au watajenga line ya umeme kutoka mtera au kidatu mpaka juani na kulipa energy
Asee jombii ebu acha kuuliza maswali ya kiwaki bana.Jua ni zaidi ya kutoa mwanga.
Chit_ chartInatakiwa iwe jukwaa lipi ndugu, pia kuuliza sio ujinga.
Chit_ chart
Angalau wewe unaelekea kwenye jibu sahihi.Tutanyauka kwa baridi
Huu ni uzi wa kuchochea tafakuri.Asee jombii ebu acha kuuliza maswali ya kiwaki bana.
Kwahiyo kumbe jibu sahihi unalijua ila hapa unatuchora tu eti?Angalau wewe unaelekea kwenye jibu sahihi.