Nini Kitafuata Hapa?

hapo ni makabidhiano tu, maana dereva alishajiandaa kabla hajabeba hizo bidhaa.
 
Huyo afande kidole chake kimoja kikoje huyo?
 
Kitachofuata ni kofia kuvuliwa...na kuwekwa mithili ya huyu mwanamama hapa chini.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…