Nini kirefu cha CHAUMA?

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,604
22,228
Habari za uzima uzima wapendwa

Leo nipo na swali kama linavyosomeka hapo juu mie sio mfuatiliaji mzuri wa hivi vyama vya siasa ambavyo havieleweki vizuri, sasa kwa siku za hivi karibuni kumekuwepo na mgombea urais kwa tiketi ya CHAUMA ambaye hata chaguzi zilizopita aliwahi kushiriki huyu mheshimiwa Hashimu Rungwe kama sijakosea

Sera za kulisha watanzania ubeche endapo atachaguliwa kuwa rais zilinifanya nijiulize maswali mengi kuhusu CHAUMA nikadhani labda kirefu cha CHAUMA = Chama cha Ubwabwa na Maakuli yaani bado natafuta kirefu cha hili jina la CHAUMA naomba anayejua anipe kirefu chake
 
Yaani umekaa chini kuandika huu upupu,aisee una akili ndogo bila shaka ulifeli hata darasani,watoto wanadhani baba anatafuta mkate kumbe anaandika upupu JF
 
yaani umekaa chini kuandika huu upupu,aisee una akili ndogo bila shaka ulifeli hata darasani,watoto wanadhani baba anatafuta mkate kumbe anaandika upupu JF
Na wewe umekaa nyuma ya keyboard kujibu upupu badala ya kwenda kusaka hela una akili kweli?
 
Back
Top Bottom