Nini kipo nyuma ya pazia? Wapinzani nchi Looh!

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,113
24,642
Tunaendelea kushuhudia demokrasia ikiminywa, viongozi wa upinzani wanafanyiwa figisu tu na kuhukumiwa kwenda jela!
Kwa kuwa wameshika mpini(wenye madaraka) sheria zinaweza kupindishwa pindishwa ilimradi tu kwa namna yoyote wapinzani wanyamazishwe!
Morogoro, Mara, Lindi!
Next...
[HASHTAG]#JUSTICE4LEMA[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BBB[/HASHTAG]
 
Kweli Tanzania bado tuko nyuma sana, Yaani sasa hivi ndio tuko enzi za Wayahudi miaka 1987 mwaka alipohukumiwa Yesu Kristu ambapo akili zao ziliwatuma kwamba bora Yesu anayehubiri amani na upendo asulubiwe kuliko Baraba Jambazi kubwa kabisa la wakati huo. Watu wote wa wakati huo wa chama tawala waliiga kelele kwamba Baraba afunguliwe Yesu asulubiwe! Hii naifananisha na ya Lema au Lijualikali kung'ang'aniwa wakati jangili linaambiwa toa faini uende zako! Halafu wale wa ESCROW rudisheni pesa msepe!
 
BBBbb????what a joke!! Mbowe bring back our ben.
SAA.jpeg
 
Jamani muda umefika na sisi tubadilike either tulalamike au tudai haki yetu tukiendelea hivi watatumaliza kisiasa kabisa....... its time tupate viongozi wenye kuthubutu kma odinga ama besigye ndoo watawala watatuheshim hivi hivi watatudharau na kuendelea kutuonea

WE NEED TO RADICALISE CHADEMA
 
Freyzemsana. st: 19355517 said:
Tunaendelea kushuhudia demokrasia ikiminywa, viongozi wa upinzani wanafanyiwa figisu tu na kuhukumiwa kwenda jela!
Kwa kuwa wameshika mpini(wenye madaraka) sheria zinaweza kupindishwa pindishwa ilimradi tu kwa namna yoyote wapinzani wanyamazishwe!
Morogoro, Mara, Mtwara!
Next...
[HASHTAG]#JUSTICE4LEMA[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BBB[/HASHTAG]
Mi nawashangaa sana. Mnapoehindwa kisheria mnasema sheria zimepindishwa. Sasa wanasheria wenu vilaza mbona hawasemi vifungu vipi vimepindishwa. Au hata hawajui waanzie wapi. Mi niliwaambia kuwa lisu aling'ara kwa sababu hakukutana na wanasheria wabobezi walikuwa wanamuangalia na kwa vile serikali ya jk haikuwajali wanasheria kabisa kimaslahi. Sasa tuone kama lisu atashinda tena kwa kesi yoyote!!
 
Hawezi kushinda maana uongozi wa sasa hauko tayari kuona Lissu anatangazwa mshindi kihalali
 
Mi nawashangaa sana. Mnapoehindwa kisheria mnasema sheria zimepindishwa. Sasa wanasheria wenu vilaza mbona hawasemi vifungu vipi vimepindishwa. Au hata hawajui waanzie wapi. Mi niliwaambia kuwa lisu aling'ara kwa sababu hakukutana na wanasheria wabobezi walikuwa wanamuangalia na kwa vile serikali ya jk haikuwajali wanasheria kabisa kimaslahi. Sasa tuone kama lisu atashinda tena kwa kesi yoyote!!
Mkuu hakuna haja sana ya kuhoji ni sheria zipi zilizopindishwa, lakini ukweli utaendelea kubaki kuwa ukweli ..!
Hivi Lema unadhani kuwa wanasheria wake walishindwa kumtetea akatoka?
...ishu hapa yupo aliyeshikilia mpini wa kisu wapinzani wameshika makali, hivyo ni rahisi mshika mpini kufanya chochote!
 
kwa sasa ukishirikiana na wapinzani uko hatarini.uko tuvuma wilayani mbinga bwana afya mmoja kapewa uhamisho wa ghafla kutoka eneo lake la kazi mpaka eneo jingine kisa ana ukaribu na wapambe wa wapiga kampeni wa chadema kwenye uchaguzi mdogo wa kata huko maguu. ccm mara nyingi hubebwa na vyombo vya dola.
 
Ok!go ahead and start rebellion.
Its not about a rebellion its about being radical more of an eye for an eye ..... a need to become aggressive such that our policies and rights can be adhered by the government .........but when that time finally arrives cowards like u should stay back
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom