Nini kipo nyuma ya pazia? Wapinzani nchi Looh!

Kweli Tanzania bado tuko nyuma sana, Yaani sasa hivi ndio tuko enzi za Wayahudi miaka 1987 mwaka alipohukumiwa Yesu Kristu ambapo akili zao ziliwatuma kwamba bora Yesu anayehubiri amani na upendo asulubiwe kuliko Baraba Jambazi kubwa kabisa la wakati huo. Watu wote wa wakati huo wa chama tawala waliiga kelele kwamba Baraba afunguliwe Yesu asulubiwe! Hii naifananisha na ya Lema au Lijualikali kung'ang'aniwa wakati jangili linaambiwa toa faini uende zako! Halafu wale wa ESCROW rudisheni pesa msepe!
Mkuu 1987 juzi?
 
Mkuu 1987 juzi?
Miaka 1987 iliyopita. Yesu alihukumiwa mwaka 30. Kumbuka Jambo kubwa la kijamii la kijivunia kwa ujio wa Yesu ukiaachana na masuaa ya imani ni Kalenda ambayo mwaka 0 ndio Yesu alizaliwa. Rekebisha hapo mkuu1
 
Mkuu hakuna haja sana ya kuhoji ni sheria zipi zilizopindishwa, lakini ukweli utaendelea kubaki kuwa ukweli ..!
Hivi Lema unadhani kuwa wanasheria wake walishindwa kumtetea akatoka?
...ishu hapa yupo aliyeshikilia mpini wa kisu wapinzani wameshika makali, hivyo ni rahisi mshika mpini kufanya chochote!
Siyo kweli. Leteni sheria zilizopindishwa hata humu jamiiforums ili tujue kweli kuna mkono wa MTU other wise ni porojo zenu tu baada ya mawakili wenu kukosa weledi
 
Hawezi kushinda maana uongozi wa sasa hauko tayari kuona Lissu anatangazwa mshindi kihalali
Hawezi kutangazwa wakati hajashinda otherwise mwambie kuwa lisu walikuwa anashinda kwa kuhonga majaji au kwa vile majaji walikuwa wanaamua kuachia ashinde ili waikomoe serikali. Sasa serikali imebooresha maslahib yao na wanafanya kazi kweli kweli!!
 
Siyo kweli. Leteni sheria zilizopindishwa hata humu jamiiforums ili tujue kweli kuna mkono wa MTU other wise ni porojo zenu tu baada ya mawakili wenu kukosa weledi
Ukweli ni kuwa hata mtu asiye na hatia anaweza kuhukumia kwenda jela, then ukasema wakili kakosa weledi!
...wapo wanaojifanya wao ni miungu na ndio hao wanaonyanyasa wenye haki!
 
Mi nawashangaa sana. Mnapoehindwa kisheria mnasema sheria zimepindishwa. Sasa wanasheria wenu vilaza mbona hawasemi vifungu vipi vimepindishwa. Au hata hawajui waanzie wapi. Mi niliwaambia kuwa lisu aling'ara kwa sababu hakukutana na wanasheria wabobezi walikuwa wanamuangalia na kwa vile serikali ya jk haikuwajali wanasheria kabisa kimaslahi. Sasa tuone kama lisu atashinda tena kwa kesi yoyote!!

Kabla hujauliza hilo swali ungeanza na kujiuliza hivi kama mahakama haiko huru, je mtu baki anaweza shinda? Afu ndiyo ujiulize kuhusu Lisu kishinda
 
Kabla hujauliza hilo swali ungeanza na kujiuliza hivi kama mahakama haiko huru, je mtu baki anaweza shinda? Afu ndiyo ujiulize kuhusu Lisu kishinda
Lisu ameshinda kesi ya bulaya he pale unasemaje. Au mahakama unakuwa guru chadema ikishinda
 
Mmezidi kujikunja mpaka 2020 mtakuwa mmenyooka. That's my plan. Mnyooke mkishafungwa wote wabaki wenye mkia tu
 
This picture explains everything but my question is mpaka lini? Mungu ninayemfahamu hasinzii wala halali. Mkono wako Siyo mfupi ma wala masikio yake hayajaziba kwamba hasikii hata macho yake Siyo kipofu kwamba haoni. Atashinwaje wakati ni yeye aliyetuumba? Take care guys
 
Tunaendelea kushuhudia demokrasia ikiminywa, viongozi wa upinzani wanafanyiwa figisu tu na kuhukumiwa kwenda jela!
Kwa kuwa wameshika mpini(wenye madaraka) sheria zinaweza kupindishwa pindishwa ilimradi tu kwa namna yoyote wapinzani wanyamazishwe!
Morogoro, Mara, Mtwara!
Next...
[HASHTAG]#JUSTICE4LEMA[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BBB[/HASHTAG]
Hujitambui, unaropokaropoka tu! Sasa Mtwara kuna nini!?
 
hizi ni propaganda za hali ya juu wapinzani siasa imewashinda mkitaka kuleta mabadiliko yaanze ndani ya mioyo yenu msilete uhuni uhuni
 
Hawezi kutangazwa wakati hajashinda otherwise mwambie kuwa lisu walikuwa anashinda kwa kuhonga majaji au kwa vile majaji walikuwa wanaamua kuachia ashinde ili waikomoe serikali. Sasa serikali imebooresha maslahib yao na wanafanya kazi kweli kweli!!
Maslahi yaliyoboreshwa ni kuwafanya Wakuu wa wilaya au wakuu wa mikoa
 
This picture explains everything but my question is mpaka lini? Mungu ninayemfahamu hasinzii wala halali. Mkono wako Siyo mfupi ma wala masikio yake hayajaziba kwamba hasikii hata macho yake Siyo kipofu kwamba haoni. Atashinwaje wakati ni yeye aliyetuumba? Take care guys
Sure but remember this-Hata mkiomba hampati!sababu mwaomba vibaya,ili mtumie vibaya.Mungu anamakusudi cause yeye anatazama moyo siyo mvi,sura au kimo.Daudi hakuwa mzuri kuliko Eliabu kakaake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom