Nini kipo nyuma ya pazia? Wapinzani nchi Looh!

Hawezi kutangazwa wakati hajashinda otherwise mwambie kuwa lisu walikuwa anashinda kwa kuhonga majaji au kwa vile majaji walikuwa wanaamua kuachia ashinde ili waikomoe serikali. Sasa serikali imebooresha maslahib yao na wanafanya kazi kweli kweli!!
Nani atakubali kumtangaza kihalali kua Lissu umeshinda kesi...Labda kama huyo atakua hakimu anayejitambua na kusimamia haki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom