Nini kipimo cha elimu ya mtu?

Nini kipimo cha elimu ya mtu?

Binafsi huwa nawakubali sana watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri ambao haufungamani na upande wowote. Ufikiri wake ni ule unaomuwezesha kufikiria jambo na kulipambanua hadi likafikia mwisho wake na hatimaye kupata suluhisho la tatizo lililokuwa likimkabili katika mazingira yake. Ufikiri huo ni ule unaolenga pande zote yaani mlengo hasi na mlengo chanya ambao hautomfanya muhusika kujutia maamuzi yake. Mfano, wengi huwa tunakuja kutambua baadaye kuwa la hasha, ningefanya hivi yasingetokea haya!

This is purely politics!Kama unaogopa risk hautafika mbali!Kukosea kwa msomi ni changamoto ya kumpeleka mahali sahihi na si tishio la kumkatisha tamaa na kumuacha akijuta!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Wewe acha ubishi chenge kusema vijisenti kunaondoa vipi usomi wake? Hii kauli imekuvunjia heshima...

Ninakiri na nitakiri bila woga wala aibu elimu niliyosoma walileta wazungu.

Chengenkusema hela.zote zile ni vijisenti kumeonyesha kwamba si mtu anayefikiri kabla ya kusema na hivyo si msomi.

Hafikirii feelings za constituents wake.

Some places you can start a class war with irresponsible and.loose talk like that.

But of course if you are swimming in a sea of irresponsible loose talk, you might very well not be able to recognize irresponsible loose talk for what it is.

Like.a.fish in water might not be able to recognize qater simply due ro it's ubiquitous abundance.
 
Hata useme nini bado inabaki vilevile kuwa kauli ile si kigezo cha kusema mtu si msomi...

Kauli za kuhamaki hata wewe msomi sana unazo....

Jaribu kufikiri context ya kauli ile...
 
Hata useme nini bado inabaki vilevile kuwa kauli ile si kigezo cha kusema mtu si msomi...

Kauli za kuhamaki hata wewe msomi sana unazo....

Jaribu kufikiri context ya kauli ile...

Kusema mimi msomi sana kunaonyesha unatania.

You can't be serious.
 
Back
Top Bottom