donniebrasco
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 887
- 775
Am currently watching Sir Ken Robinson and his speeches on 'Changin education from bottom to top' 'How schools kill creativity' and 'Changing education paradigms'.
When I am done i sure will share with you something on 'Kipimo cha elimu'
PM Moderator,
Mentor.
kuna jamaa mmoja hivi alikuwa anafanya kazi katika machimbo ya madini.. basi katika kufanya kazi hiyo ya madini, kama mnavyojua, pesa huja fasta sana, jamaa kuona vile, akaenda S.A kutumbua maisha kwa pesa alizopata...ASanteeeee! mmetutia moyo hata sisi wa darasa la saba
japo hatukutajwa na mtoa maada safiiii
tutakutana hukuhuku uswazi wewe na mi masters yako
una ki rav4 cha mkopo wenzio tuna 7 au 4 tuna enda show room
na kulipa cash!
Kipimo cha elimun ya mtu ni matendo yake kama ilivyosemwa awali.
Kwa mfano, Andrew Chenge ni mwanasheria (wanaojiita "wasomi"). Kasoma mpaka Harvard.
Lakini habari ya "vijisenti tu" imeonesha hajaelimika.
ASanteeeee! mmetutia moyo hata sisi wa darasa la saba
japo hatukutajwa na mtoa maada safiiii
tutakutana hukuhuku uswazi wewe na mi masters yako
una ki rav4 cha mkopo wenzio tuna 7 au 4 tuna enda show room
na kulipa cash!
Its too low!!
Kusema ni vijisenti was just a comparison...
Wewe unavyosemaga una hela nyingi au unafanya shoping ya hela nyingi sana ni kuto kuelimika?
Sikutegea analysis hii toka kwako..
Again its too low!!
Ukitegemea chochote kutoka kwangu hujanielewa bado, you can't put me in a box.
Vijisenti ilikuwa comparison na nini? Katika nchi ambayo wakulima wengi tu hawamake hata $1000 kwa mwaka, kuita half a million quid zilizopo Jersey Island "vijisenti" ni dharau ya hali ya juu.
Andrew Chenge kama mwanasiasa wa nchi maskini ambayo GDP per capita yake haifiki hata $ 2,000 kwa mwaka kuita quid nusu milioni "vijisenti" ni matusi yaliyokimbilia kufuru.
Paul "Kishamapanda" Bomani alikuwa na hela ndefu kuanzia kabla ya uhuru, lakini huwezi kukuta rekodi anasema hela ambayo wananchi wa kawaida wanaona ni utajiri kuwa vijisenti.
S. S Bakhressa ana pesa mpaka Forbes inamfahamu lakini huwezi kumsikia akisema hela kiasi hiki ni "vijisenti".
I can't recall even Mengi being this immodest.
Mimi sijawahi kusema nina hela nyingi.
Nilijibu tuhuma kwamba qatu wa diaspora tunashindwa kulipa $ 6,000 kusafirisha maiti. Nikaswma lumping all diaspora togethwr ia not fair, kwani mimi nishachangia mshkaji @2,500 katika.matatizo ya kawaida tu yaliyohitaji 10,000 na nikasema pia kwamba safari yangu ya mwisho kuja bongo tiketi na mazagazaga mwnginw nimetumia.in excess of $ 18,000. Sikusema hizo ni vijisenti.
Na hata ningesema, mimi nishakata leseni ya kuwa "court jester" cum "Shakesperean Fool" hapa JF.Kiranga is a singularity, an unorthodox beast, an ungodly behemoth, hajawahi kusema kaelimika wala kujifanya anaweza kufanya kazi ya kuwawakilisha wananchi.
Huwezi kuanza kum compare na Chenge mtu aliyepanda jukwaani kuomba kura za wananchi kwa unyenyekevu qote, halafu anaenda kukufuru hivyo.
Kusema vile ni kukosa elimu maadili au busara?
Kuna uhusiano gani hapo?
Wewe unavyojitapa kufanya shopping ya $ 18000 ktk ulimwengu ambao kuna waneba box wenzio hawana hata uwezo wa kujigharamia nauli kurudi kwao si dharau/ kebehi au ubinafsi?
Chenge alisema kila mtu ana viwango vyake hata Mimi kuna hela naiona ndogo na nyingine naona nyingi hivyo kusema 1bn ni vijisenti katika bahari ya wenye 1000bn its just a comparison!!
Dharau si kipimo cha kumtambua msomi sababu hata wazungu walotuletea usomi wanadharau ngozi nyeusi.....
Think big kiranga!!
Kusema vile ni kukosa elimu, maadili na busara.
Mimi sikujitapa, nimesema ukweli wa kitu ambacho nimekifanya ili ku clear the record baada ya sisi watu wa ughaibuni kuambiwa kwamba tumeshindwa kulipa $6,000. Nikaonyesha kwamba anga zangu hiyo ni hela ya kulipwa na watu wawili tu.
Halafu.unapoendelea kuni lambast kwa kutumia.$18,000 zangu mwenyewe, ambazo sijamuibia mlipa kodi wa Tanzania, ambazo nishakwambia huwezi kunilinganisha mimi na Chenge kwa kuwa mimi na Chenge hatuwezi kuwekewa standard moja ( mimi si msomi, Chenge ni Harvard alumni, mimi.sijaomba kutumikia watu, Chenge ni mbunge na.mqenyekiti wa kamati ua maadili ya CCM at the time.etc)
It seems like this.point was lost on you.
Chenge anapoongea publicly hana uhuru wa kusema kila mtu ana viwango vyake, anatakiwa.kuwa.very thoughtful about the feelings of his constituents, mimi sina constituents kwenye public space. Kusema.kwamba Chenge anaweza kusema kila mtu ana standards zake ni kutoelewa role ya Chenge kama a public servant.
Kusema wazungu ndio wametuletea usomi ni kudhihirisha ujinga wako.
Dharau, hususan kwa a public servant, is a form of intellectual insecurity and ignominy.
I don't only think big, I think beyond the 11nth spatial Kaluza-Klein string theory manifold.
Big is not even the word.