Nini Kinawafanya vijana kuwa mashoga?

Naona watu wamesahau Mada: NINI KINAWAFANYA VIJANA KUA MASHOGA? Lakini silaumu ndio mfumo wetu wa elimu huu!
 
Ushoga haukuanza leo kwani imeandikwa "wanaume nao wakayaacha matumizi ya asili ya mke wakawakiana tamaa wenyewe" all in all chanzo cha ushoga ni Shetani na mbinu zake za kuwapoteza wanadamu ili apate wafuasi wa kuungana naye motoni katika moto alioandaliwa yeye na malaika zake. So mpingeni shetani naye atawakimbia.
 

Aiseeeh Zenji kumbe ndo hivi
 
Wengine wanasumbuliwa na Shamlani tu !
(Shamlani means muasho flani from no where ! Muhusika ukishamuasha huo mpaka utiwe chumvi yaani afanywe) source wahusika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…