Nini Kinawafanya vijana kuwa mashoga?

KISIWA cha Unguja, kinaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya mashoga wanaoishi na virusi vya ukimwi.

Na Nora Damian

Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam na Dk Subilaga Kasesela-Kaganda wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (Tacaids), alipokuwa akizungumza katika kongamano kuhusu maambukizi ya ukimwi kwa wafanyabiashara ya ngono, mashoga na watumia dawa za kulevya.
SHOGA.JPG

Alisema Zanzibar ndio eneo lenye mambo ya ushoga hapa nchini na kwamba asilimia 12 ya watu wanaoishi na virusi vya ukimwi katika Kisiwa cha Unguja ni wale wanaojishughulisha na mambo hayo.

Alisema baadhi ya sababu zinazochangia kukua kwa tatizo hilo ni vishawishi, wazazi kuwa mbali na watoto wao, yatima wanaokosa malezi mazuri, watoto wa kiume kulelewa na mama kwa kipindi kirefu na mtoto wa kiume kupenda kuvaa mavazi ya kike.

Alisema sababu nyingine zinazochangia tatizo hilo ni mazingira ya shule za bweni, ambazo baadhi yake zina wanafunzi wa kiume pekee, mwanaume kuwa na homoni nyingi za kike na wanaume wengi kukaa sehemu moja kama jeshini na magerezani.

"Na wanawake wanaopenda kufanya ngono ya haja kubwa wanapaswa nao kujua kuwa ina hatari zaidi, kwa maana ya kupata maambukizo kuliko njia ya uke,"alisema Dk Kaganda.

Alisema utafiti umeonyesha kuwa asilimia sita ya Watanzania wanaishi na virusi vya ukimwi, wanawake wakiwa ndio waathirika wakubwa wa tatizo hilo.

Dk Kaganda alisema tatizo hilo liko zaidi katika maeneo ya mijini na ligawagusa mno watu wazima na wanawake wenye uwezo wa kufanya ngono na watoto wadogo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa shirika la TAWIF lililoandaa kongamano hilo, Fransisca Matao alisema jamii inachangia kwa kiasi kikubwa watoto wengi kuwa mashoga kufuatia kuwanyanyapaa na kuwatenga.

Imetoka: Gazeti la Mwananchi

Mtumeeee
 
mhhh tusitukane mamba kabla ya kuvuka mto,kama umenusurika fikiria kizazi chako!
 
[h=3]
[/h]

Mwimbaji wa Kundi la Taarab la Zanzibar Stars, Hassan Ally, akiwapagawisha mashabiki wake wakati wa onyesho maalum la kutambulisha albam mpya na mafanikio ya kundi hilo tangu lilipoanzishwa, lililofanyika jana kwenye Ukumbi wa Mango Garden Kinondoni. Picha na (SPM)

Wacha niwanyeshe mbuno langu, hilo jibaba kaa Selena William haliniwezi..... Shoga aliyetajwa kwa jina moja la juma akimwaga radhi ukumbini.

Na bado utanikoma leo mpaka ukimbie humu ukumbini mbona unazidi kutokomea pembeni, hii masine kubwa....
Ehee unarudi ee ngoja niongeze staili mupya zinazowapagawishaga kina.......

Sio kama nataka kupaa ila ni manjonjo tu watu wangu nishangilieni basi sinakaribia kuwafunika mashoga...?
Unaimba bomba sana Serengeti boy,ukishuka jukwaani nitafute nimekaa laleeee.......
Haya naondoka hivyo zingatia nilokuambia usijekosa bahati yako eeeh.......
Naona hujanielewa narudi ili unielewe ok!
We dada mie huniwezi eeeh, hebu nicheki kwanza alaaaaaah........ Mashabiki wa miondoko ya Zanzibar Stars wakiachia uwanja kuwapisha wapinzani.He sijui mijibaba inaniona? kujilemba kote huku......
Hii kwanza ni test siachiimiuno kwanza nicheki kama mijibaba ipo humu ndani?
Mwimbaji wa Kundi la Taarab la Zanzibar Stars, Zubeda Mlamali, akiwapagawisha mashabiki wake wakati wa onyesho maalum la kutambulisha albam mpya na mafanikio ya kundi hilo tangu lilipoanzishwa, lililofanyika juzi kwenye Ukumbi wa Mango Garden Kinondoni. Picha na (SPM)
 
Mimi huwa nawachukulia wanaume wote wanaopenda na kushangilia muziki wa taarabu wana matatizo. Thy must hav som g@Y's elements. Disgusting.
 
Tunapenda sana kuwachokoza Watanzania wa asili ya Visiwani, sioni saababu ya kutaja nchi yao na maeneo yao sio vizuri ati
 
Miaka kadhaa ijayo wazazi tutakuwa na kazi nzito ya kuwalinda vijana wetu wa kiume. Mungu tuepushe na hili gharika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom