sheva77 Member Oct 2, 2016 45 8 Feb 27, 2017 #1 Habari ndugu zangu, Nimegundua kuwa Watanzania wengi ni waoga wa kudai ama kuhoji kuhusu haki zao. Je ni kwanini hali iko hivi?
Habari ndugu zangu, Nimegundua kuwa Watanzania wengi ni waoga wa kudai ama kuhoji kuhusu haki zao. Je ni kwanini hali iko hivi?