Habari wana jamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Kuna mdada mmoja nilichukua namba yake kukawa tunachart vizuri tu.
Sasa nikajisemea ninogeshe penzi nika mtumia hela bila yeye kuniomba cha ajabu kutoka hapo chart ikapungua na ukimpigia simu anajibu mkato
Mpaka nimeamua kuachananaye na sio huyo ni mara nyingi tu huwa inanitokea nikitanguliza hela bila kupata ninachotaka simpati kabisa
Sasa sijajua hawa dada zetu wanakuwa wanawaza nini kwenye hili.
Kweli kabisaWajuzi wa mambo watakuambia hili ni tangazo la biashara
Shida yako hujiamini. Una mawazo ya kijinga sana. Alie kwambia mwanamke anahitaji pesa yako from no where ni nani?Habari wana jamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Kuna mdada mmoja nilichukua namba yake kukawa tunachart vizuri tu.
Sasa nikajisemea ninogeshe penzi nika mtumia hela bila yeye kuniomba cha ajabu kutoka hapo chart ikapungua na ukimpigia simu anajibu mkato
Mpaka nimeamua kuachananaye na sio huyo ni mara nyingi tu huwa inanitokea nikitanguliza hela bila kupata ninachotaka simpati kabisa
Sasa sijajua hawa dada zetu wanakuwa wanawaza nini kwenye hili.
Yes anaonyesha kuwa clingy and so desperate. Mwanamke hapendagi hiyo kitu.. ana kureject direct.Perhaps you come across as being desperate, clingy, and in over your head!
Endelea hivyo hivyo .atakula hela zako alaf atakuweka FRIEND ZONEOk ngoja nisikate tamaa nikomae naye mpaka anione kero huenda ananipima
Duh mkuu umeuwaah nimekoma sitarudia tenaShida yako hujiamini. Una mawazo ya kijinga sana. Alie kwambia mwanamke anahitaji pesa yako from no where ni nani?
Unapompa pesa mwanamke bila ya yehe kukuomba unamuonyesha kwamba you a desperate, unatamaa fulani, au unadhani yeye ni malaya so anauza. Mwanamke ataona kama una lako jambo...
Mpe hela anapohitaji, sio utume tu from no where.
ACHA UDOMO ZEGE WA KUTANGULIZA HELA UKIDHANI UTAPENDWA..
wewe utatoaje pesa
WAKATI HUJAJUA KAMA YALIYOMO YAMO
Aiseee polee......
Ameshajua kuwa, kwa style zako hizo za matumizi ya ovyoovyo,e ni lazima utakufa masikni.Habari wana jamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Kuna mdada mmoja nilichukua namba yake kukawa tunachart vizuri tu.