JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 9,120
- 9,732
Mara nyingi watangazaji wa redio kwenye vipindi vinavyotoa nafasi kwa wasikilizaji wanawasisitiza wapiga simu kukaa mbali na redio au kupunguza sauti kama sio kuzima redio kabisa. Kuna sababu gani hasa ya/za kiSayansi kwa suala hili. Kwa nini hasa kunakuwa na kelele kali?