Nini kinapelekea mtu kuzaa watoto wengi wa kike au wa Kiume?

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,865
5,683
HV ni nn kinapelekea mtu kupata watoto Wa kike wengiii au Wa kiume wengiii? Ina uhusiano na nguvu ya kimapenzi kati ya mume na mke, timing, ukali Wa mbegu au? Karibuni wajuzi, sijapitia reproduction jamani!!!
 
Una kiwango gani cha Elimu wewe?
Umewahi kusomea masomo ya Elimu Viumbe (Biology)?
 
Mkuu, nina kiwango cha kidato 4 lkn hakika sikuelewa chochote ktk mada yoyote ya bios. Nipatie maujuzi kdg fafadhali

Kama ndio hivi, nakushauri wewe pamoja na mwenza wako/mkeo mwende mkamuone daktari, mkapate ushauri wa kitaalamu kutoka KWA wataamu wa afya ya uzazi.
 
Mkuu, nina kiwango cha kidato 4 lkn hakika sikuelewa chochote ktk mada yoyote ya bios. Nipatie maujuzi kdg fafadhali

Kama ndio hivi, nakushauri wewe pamoja na mwenza wako/mkeo mwende mkamuone daktari, mkapate ushauri wa kitaalamu kutoka KWA wataamu wa afya ya uzazi.Kwa huko nyumbani Tz huduma hii inapàtikana karibu kwenye hospital I zote, pamoja na baadhi ya Vituo vya afya NA Zahanati, ( MCH)
 
Back
Top Bottom