Nini kinamliza mwanamke kitandani?

Status
Not open for further replies.
Ile ni show to for political purposes.... Mrs alipotakiwa kutoa maoni juu ya kashfa ya mumewe na Monica Lewinsky Unajua alisemaje? My husband just want to see how ugly they are! Hivi kweli mwanamke anaweza kumruhusu mume wake afunuefunue wanawake kwa kisingizio cha kutaka kuona hao wanawake wengine ni wabaya kiasi gani? Hio alikuwa anampa mume wake political cover. Sikusema kwamba watu wanapogrow-up wanaacha kupendana bali nimesema kuna change in approach! Sawa mama eeh?
 
Ulikua wapi jasnira

Naona Sasa hii ni KASI yenye KASI
Inaelekea mna ukoo na Senior Miss chagga
 
Ulikua wapi jasnira

Naona Sasa hii ni KASI yenye KASI
Inaelekea mna ukoo na Senior Miss chagga
Mimi mkongwe sana tu humu sema jukwaa langu kuu ni la siasa huku nakuja kwa emergency kuweka mambo sawa.
 
Nimekuota
 
Baada yakuona huu uzi umeleta maswali mengi kuhusu vibamia,,,,


Sasa tumia fursa hii kujitambua au kumtambua ulienae kama nikibamia, ni medium sized au ni large ddu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…