Nini kinakwamisha vijana kutumia intaneti?

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Kufikia Mwaka 2022, 48% ya Vijana (Miaka 15 hadi 24) katika Nchi zinazoendelea walikuwa wanatumia Mitandao.

Hii inatoa taswira kuwa Vijana wengi wanajitahidi kukumbatia Teknolojia kama nyenzo muhimu katika Maisha yao, lakini huenda Mazingira yaliyopo si rafiki kwao.

Kama Kijana, vitu gani vinakukwamisha katika Matumizi ya Intaneti?

=======

As of 2022, almost half (48 per cent) of young people (15- to 24-year-olds) in LDCs were online, almost double the rate of 2019 (26 per cent). That is almost 15 percentage points more than for the rest of the population (33 per cent, up from 20 per cent in 2019). While trailing the global average of 75 per cent, the relative gap between LDCs and the world average is much smaller for young people than the gap for the whole population

This greater uptake among the young bodes well for the future, as half of the population of LDC is 20 or younger. It means that the workforce will become more connected and technology-savvy as the young generation joins its ranks. This in turn could improve the development prospects of LDCs.

Source: ITU (International Telecommunication Union)
 
ASILIMIA KUBWA YA VIJANA WA NCHI ZETU ZA KIAFRIKA INTERNET INATUMIKA KINYUME SIO KWA FAIDA, NGONO, CONNECTIONS ZA MAPENZI N. K
 
Back
Top Bottom